Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umesema Serikali ina taarifa rasmi ya watu 24 wanaoaminika kuwa Watanzania wanaoshikiliwa ...
Muda mfupi baada ya kocha Sead Ramovic kubwaga manyanga, Yanga leo, Februari 4, 2025 imetangaza kumchukua kocha wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud kuziba pengo lililoachwa na Mjerumani huyo.
Mume wa mwalimu mstaafu aliyefariki dunia kwenye ajali ya gari amesimulia jinsi mkewe, Apaikunda Ayo (61), alivyojipanga ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi imesema kiwango kikubwa cha utekelezaji wa afua za VVU na Ukimwi ...
Hivyo, CCM kikazaliwa Februari 5, 1977 na makao makuu yake yako Dodoma. Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar iko Unguja na kuna Ofisi ...
Kutoka Februari 5, 1977, CCM ilipozaliwa baada ya kuunganisha vyama vya Tanu na ASP hadi Februari 5, 2025, ni miaka 48 ...
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Mji wa Handeni, mkoani Tanga limeazimia na kumuagiza mkurugenzi wa halmashauri hiyo ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewatahadharisha wanachama wa chama hicho kuchagua watu ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokewa na wakazi wa Dodoma baada ya kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeeper huku akisema tuzo hiyo ni ya wahudumu wa sekta ya afya na Watanzania wote.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewatahadharisha wanachama wa chama hicho kuchagua watu ...
Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Muhamed Migeto amesema vitu vilivyoathiriwa na moto huo ni vifaa vya wanafunzi vilivyokuwamo ...