Wakati mkewe Sylvia na mtoto wao wa kiume Noureddin wakiwa bado korokoroni, rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameamua kuanzisha mgomo mpya wa kula ili kupinga kuendelea kuzuiliwa licha ya hali ...
Baada ya kumuondoa madarakani Rais wa Gabon Ali Bongo, Jenerali Brice Oligui Nguema alibebwa barabarani na wanajeshi wake huku wakiimba waliimba "Oligui, rais! Oligui, rais!". Jenerali huyo mwenye ...